Nyumbani

Karibu kwenye tuvuti yetu tunatoa Huduma ya Ujenzi na Umaliziaji wa nyumba (Finishing) kutengeneza samani (Funiture) za ndani,ofisini,nk…

Jinsi tunavyo Fanya kazi.

Tunafanya kazi kwa kuzingatia makubaliano na wateja wetu. tuna fanya kazi mkoa wowote Tanzania.

Kuhusu sisi

UFANISI COMPANY imesajiliwa tarehe 18/06/2023 namba ya usajili ni 545528 eneo la kazi ni Tanzania, makao makuu ni Santamaria wilaya ya Kalambo mkoa wa Rukwa. Shughuli tunazo fanya ni Ujenzi na Umaliziaji wa nyumba,(Finishing) kutengeneza samani (Funiture) za ndani na ofisi.Soma zaidi

Wasiliana nasi