BADILI MAISHA KIDIGITALI

BADILI MAISHA KIDIGITALI ni Program iliyo anzishwa na Ufanisi Company dhumuni la Program hii ni kuwafanya watu watambue fursa zilizopo Ufanisi Company na wazitumie kujipatia kipato.Kwanza tambua Ufanisi Company imesajiliwa tarehe 18/06/2023 namba ya usajili ni 545528 eneo la kazi ni Tanzania Makao makuu ni Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo.Shughuli zetu Ujenzi,Umaliziaji wa NyumbaContinue reading “BADILI MAISHA KIDIGITALI”

USAJILI WA MAFUNDI NA MAWAKALA KUANZA TAREHE 02-30/10/2023

Ufanisi Company imesajiliwa kwa namba 545528 shughuri zake ni Umaliziaji wa nyumba (Finishing) Utengenezaji wa Samani (Furniture) na kuhifadhi na kutunza mazingira. Makao makuu ya kampuni ni mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo Ofisi yetu Ipo kijiji cha Santamaria mkabala na Ofisi ya maji (CHIMIZWALO) Kampuni itaanza usajiri wa mafundi watakao fanya shughuri pindi kampuniContinue reading “USAJILI WA MAFUNDI NA MAWAKALA KUANZA TAREHE 02-30/10/2023”

UTEGENEZAJI WA MEZA NA VITI VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO VYA KAMILIKA

Ufanisi Company imesajiliwa kwa namba 545528 shughuri zake ni Umaliziaji wa nyumba (Finishing) Utengenezaji wa Samani (Furniture) na kuhifadhi na kutunza mazingira. Imekamilisha utengenezaji wa meza viti vya ofisini ya Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Idara ya Afya Mpaka sasa tumefanya kazi kama hii kwenye Halmashauri ya Kalambo mala mbili mala ya kwanza tulifanya kaziContinue reading “UTEGENEZAJI WA MEZA NA VITI VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO VYA KAMILIKA”