BADILI MAISHA KIDIGITALI

BADILI MAISHA KIDIGITALI ni Program iliyo anzishwa na Ufanisi Company dhumuni la Program hii ni kuwafanya watu watambue fursa zilizopo Ufanisi Company na wazitumie kujipatia kipato.
Kwanza tambua Ufanisi Company imesajiliwa tarehe 18/06/2023 namba ya usajili ni 545528 eneo la kazi ni Tanzania Makao makuu ni Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo.
Shughuli zetu Ujenzi,Umaliziaji wa Nyumba (Finishing) Kutengeneza Samani (Funiture) na Utunzaji wa Mazingira.
Ufanisi Campany tunahitaji mawakala Tanzania nzima watakao fanya kazi ya kutafuta tenda za Ujenzi na Umaliziaji wa Nyumba kila Mtu kwa eneo la Mkoa wake hii ni fursa kubwa itakayo kuwezesha kujipatia kipato na kubadili maisha yako tuta kufundisha jinsi ya kufanya kazi hii kwa ufanisi kwa eneo lako na kwa njia ya mtandao wa internet.
Pia tuta kupatia Elimu ya jinsi ya kutumia mtandao wa internet kujipatia kipato na kukuza biashara zako.
Ili kuwa wakala haihitaji kulipa pesa yoyote cha kufanya ni kujaza fomu inayo tolewa bure unajadiliwa ukikubaliwa unaanza kazi.
Sifa za wakala
Awe mtanzania
Awe na akili timamu
Awe na Umri miaka 18 na kuendelea
Awe mwaminifu na mwadilifu
Awe mchapa kazi Mpambanaji asie kata tamaa
Awe mtu wa kujituma
Awe mtu wa kufuata taratibu za Ufanisi Company

Malipo ya Wakala ni asimia 10% ya pesa ya tenda itakayo tolewa na mteja. Jinsi tunavyo fanya kazi mteja ataandaa vifaa vya kazi na sisi tuna kubaliana gharama za ufundi kulingana na tenda aliyo nayo makubaliano yata fanyika kwa njia ya maandishi ili kulinda pande mbili.

Ndugu mtanzania acha kulalamika kuwa huna kazi wala ajira Ufanisi Company imekuletea kazi hii itakayo kusaidia kujikwamua kiuchumi cha msingi ni jitihada zako nataka kukupa mchanganuo mfupi jinsi unavyo nufaika .

Mfano ukipata tenda ya Tsh:1,000,000 kamisheni yako Tsh:100,000 kamisheni yako Tsh:5,000,000 kamisheni yako Tsh:500,000 tenda ya 10,000,000 kamisheni yako Tsh:1,000,000 tenda ya 20,000,000 kamisheni yako Tsh:2,000,000 pia zipo bonsai unazo pewa kulingana na uchapa kazi wako. Kadili unavyo pata tenda ya bei kubwa ndivyo kamisheni yako inavyo panda.

Unaweza jiuliza nawezaje jua thamani ya tenda wakati mimi sio fundi wewe kazi yako ni kutafuta tenda ukipata tenda sisi tuna tathimini kazi na kujua thamani ya kazi na mkataba unao wekwa na mteja lazima wewe wakala ujue ili ufahamu kamisheni yako.
Nakukaribisha kwenye channel yetu ya whatsapp follow kupitia link hapo chini

https://whatsapp.com/channel/0029Va9uVOrJ3juwG3ZROL28

ili uweze kupata Elimu jinsi ya kufanya kazi na kunufaika kupitia Ufanisi Company na mtandao wa internet. Kufahamu zaidi kuhusu sisi soma Wasifu wetu au tembelea webusite yetu.
Mawasiliano
Simu:+255625850656
Email:ufanisicompan@gmail.com
Wabusite: https://ufanisicompan.com

Imetolewa na

Musa Frackison Mzopola
Meneja Mkuu

Published by UFANISI COMPANY

Huduma zetu ni Umaliziaji wa nyumba (Finishing) Kutengeneza samani (furniture) za ndani,ofisini, nk.....

Leave a comment