Hivi ni vitanda vinavyo tengenezwa kwa mbao za mninga, pia tunatengeneza Samani aina zote Ujenzi na Umaliziaji wa Nyumba. Wasiliana nasi tutakuagizia popote ulipo Ndani ya Tanzania 0625850656
Author Archives: UFANISI COMPANY
Mlango wa Paneli
Tunatengeneza milango ya Panel kwa kutumia mbao za Mninga na Samani za Ndani,Ofisini na shuleni wasiliana nasi kwa 0625850656
BADILI MAISHA KIDIGITALI
BADILI MAISHA KIDIGITALI ni Program iliyo anzishwa na Ufanisi Company dhumuni la Program hii ni kuwafanya watu watambue fursa zilizopo Ufanisi Company na wazitumie kujipatia kipato.Kwanza tambua Ufanisi Company imesajiliwa tarehe 18/06/2023 namba ya usajili ni 545528 eneo la kazi ni Tanzania Makao makuu ni Mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo.Shughuli zetu Ujenzi,Umaliziaji wa NyumbaContinue reading “BADILI MAISHA KIDIGITALI”
MAFUNDI WA DALI ZA NYUMBA AINA ZOTE
Mafundi wakupiga dali za aina zote na mengine yanayo husu Ujenzi na Finishing za nyumba wanapatikana Ufanisi Company wasiliana nasi kwa 0625850656
MAFUNDI WA KUBANDIKA MALUMALU
Mafundi wa Ujenzi Finishing za nyumba wanapatikana Ufanisi Company hizi ni baadhi za kazi zinazo Fanyika. Tunafanya kazi kwa ubora kwa mda mhafaka. Ukiwa na kazi wasiliana nasi tunafanya kazi popote ndani ya Tanzania piga 0625850656.
MAFUNDI WA UJENZI NA FINISHING ZA NYUMBA
Tunatoa huduma za mafundi ujenzi na finishing za nyumba, ikiwa una kazi ya ujenzi na finishing wasiliana nasi tuweze kukufanyia kwa bei rafiki, lakini pia kama unahitaji mafundi kwaajili ya kazi hiyo wasiliana nasi utapata mafundi waaminifu wachapa kazi watakao fanya kazi za kiwango kwa mda mhafaka piga 0625850656
USAJILI WA MAFUNDI NA MAWAKALA KUANZA TAREHE 02-30/10/2023
Ufanisi Company imesajiliwa kwa namba 545528 shughuri zake ni Umaliziaji wa nyumba (Finishing) Utengenezaji wa Samani (Furniture) na kuhifadhi na kutunza mazingira. Makao makuu ya kampuni ni mkoa wa Rukwa wilaya ya Kalambo Ofisi yetu Ipo kijiji cha Santamaria mkabala na Ofisi ya maji (CHIMIZWALO) Kampuni itaanza usajiri wa mafundi watakao fanya shughuri pindi kampuniContinue reading “USAJILI WA MAFUNDI NA MAWAKALA KUANZA TAREHE 02-30/10/2023”
UTEGENEZAJI WA MEZA NA VITI VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO VYA KAMILIKA
Ufanisi Company imesajiliwa kwa namba 545528 shughuri zake ni Umaliziaji wa nyumba (Finishing) Utengenezaji wa Samani (Furniture) na kuhifadhi na kutunza mazingira. Imekamilisha utengenezaji wa meza viti vya ofisini ya Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Idara ya Afya Mpaka sasa tumefanya kazi kama hii kwenye Halmashauri ya Kalambo mala mbili mala ya kwanza tulifanya kaziContinue reading “UTEGENEZAJI WA MEZA NA VITI VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO VYA KAMILIKA”
Pendezesha nyumba yako
Nyumba ni umaliziaji kazi kama hizi tunazifanya kwa bei rafiki kwa wateja wetu.
Viti vya Ofisini
Kiti kama hivi tunatengeneza kwa Elfu sabini Tsh:70,000/=